Tafadhali jibu maswali 5 kuhusu jina lako la kwanza: Jina lako:
Karibu kwenye majina-ya-watoto.ʍ.com!
Hapa utapata habari ya kuvutia kuhusu majina zaidi 100,000! Kwa mfano, maana, asili na umaarufu wa jina lako la kwanza.
Je, unatafuta jina nzuri la mtoto wako? Basi umekuja pahala pazuri. Majina-ya-watoto.ʍ.com ni tovuti kamili zaidi ulimwenguni!

Browse names by letter

Maoni ya hivi karibuni
Jovan10-02
Nimefulai sana kujua ufafanuzi wa jina langu by Jovan Johanssen Joel
John 8-02
Jaman- waduakwama names -john-
a Sijaonamaanaya jinangu ningependa mnisaidh kufanya utafiti wahijina langu- sijuhupungufu- nyota- aunimerogwa- napendasana wanawake-naohuwa wanakubali lakini huwanakamda mfupi2 utaskia2 akisema kwasasa nikobithe- wengi wanaishia sababu2- mpaka 2 no loves" fleelngs- no ciyfdans- time-
Radhia30-01
Najivunia kupewa jina hili na wazazi wagu nijina zuri nalenyemana zuri, na nijina lilo enea katika kitabu kitakatifu mswahafu
Munira27-01
Je linafaa kwa upande wangu na maana take halisi
Naitwa MUNIRA HAJI linaendana
Agatha27-01
Nalipenda jina langu na ninajivunia kuitwa Agatha jina la mtakatifu wa zamani aliyefia dini ya ukristo
Roland25-01
kiukwel nalpenda jina hil kwa7bu maeneo nayo kaa lko peke yake xo i luv my name
Ignatius23-01
Napenda kujua maana ,tabia katika kipato na mahusiano ya jina langu
Deus17-01
nijina zuri na ninalipenda sana ila tatizo najitaidi sana kutafta asili ya jina langu na chimbuko lake sjajua mpaka leo
Simon15-01
Nalipenda sana ila nataman nijue maana yake na mafanikio yake
Leyla15-01
nataka kujua tafsiri na maana yake na kama linaashiria maana mbaya au nzuri
Stewart12-01
I like my name japo jina langu lilitoholewa from Stewart to staywart ambalo ni la Mtoto wa kike ..
Derick11-01
Nalipenda sana jina la derick ndiyo maana nahitaji nijue maana yake
Sebastian11-01
maana halisi ya jina langu na jinsi ya kulitumia ili nifanikiwe kupitia jina langu
Cletus10-01
Nataman kujuwa maana ya jina langu na ndoto zangu nin ktk maixha yang ilikuwa nin kwasababu nisielewi mpaka Leo Yan nipotu nafikilia kuhusu ilo nsipati jib
Cletus10-01
Nataka kujua maana ya jina language na nyota yangu imeka vip kwasababu napata pesa hafu ngafula naitumia upesi hafu hamuna nolicho fanya chamaana kingine natakakujuwa ndoto ya maisha yagu ilikuwa nin au kufanya nn
Meshack 8-01
jina langu ni jepes na mtu shujaa na mtu anayependa kusoma xana
Meshack 8-01
jina langu ni jepes na mtu shujaa na mtu anayependa kusoma xana
Meshack 8-01
jina langu ni jepes na mtu shujaa na mtu anayependa kusoma xana
Boniface 7-01
ni jina zuri sana pia hupendwa na watu,hujifunza kutokana na makosa,mpole(mkimya),mwenye heshima but also anapenda kusoma
Michaël 7-01
jina langu ni jina nzuri sana ni jina lenye maana nzuri nashauri muwape watoto wenu jina hili.