Karibu kwenye majina-ya-watoto.ʍ.com! Hapa utapata habari ya kuvutia kuhusu majina zaidi 100,000! Kwa mfano, maana, asili na umaarufu wa jina lako la kwanza.
Je, unatafuta jina nzuri la mtoto wako? Basi umekuja pahala pazuri. Majina-ya-watoto.ʍ.com ni tovuti kamili zaidi ulimwenguni!
Maoni ya hivi karibuni
Petro♂jana★★★★★Ndio nataka nijue nini mana yajina langu mana weng upenda kuni hita jiwe sasa sielewi nini mana yajinalang natamani nijue
Shomari♂ 1-03★★★★★Nataka kuelewa tu maana ya jinalangu(shomari)
Sandra♀ 1-03★★★★★Nafurahia jina langu nalipenda sana
Patrick♂ 1-03★★★★★naitaji ku fahamukunihusu mimi na mahana halisi kusuhu jina langu na nyota yangu
Magreth♀ 1-03★★★★★nalipenda mpaka naumwa
Najma♂ 1-03★★★★★jina langu naitwa RASHIDI linamaana gani
Hamisi♂28-02★★★★★Nataka kuchaguliwa jina zuri la utani
Leandra♀27-02★★★★★I am proud of my name, and I love it
Rumaysa♀27-02★★★★★maana ya jina langu
Rumaysa♀27-02★★★★★maana ya jina langu
Magreth♀27-02★★★★★Ni zuri naninalipenda
Mathew♂26-02★★★★★Kiukweli nakupenda sana Nina language na nalifanyia kazi kama alivo kuwa mtumisha MATHAYO
Barakamwaru@gmail.com♀26-02★★★★★Ni zuri linastahili kwa viongozi shupavu lakini huwa na wenye hasira sana na muda mwingine wapole sana.Kimapenzi huwa ngumu kupata mtu wa kuwa naye katika mapenzi hubarikiwa tu kuwa na mke wa ndoa
Barakamwaru@gmail.com♀26-02★★★★★Ni zuri linastahili kwa viongozi shupavu lakini huwa na wenye hasira sana na muda mwingine wapole sana.Kimapenzi huwa ngumu kupata mtu wa kuwa naye katika mapenzi hubarikiwa tu kuwa na mke wa ndoa
Yusuf♂25-02★★★★★ni jina la nyota yusuf
Gift♀24-02★★★★★Jina gift lina maana gani?
Nasibu♂22-02★★★★★nalipenda , nilikua kwa bahati
Agrey♂20-02★★★★★Naitaji kupata maana ya jina langu naisi lina maana nzuri sana
Anastazia♀19-02★★★★★Nataka kujua maana ya jina langu
Annastazia♀19-02★★★★★Nataka kujua jina langu lina maana gani
Chacha♂19-02★★★★★asili ya majina na maana zake
Chacha♂19-02★★★★★nyota ya jina hili inaweza kufanya kazi gani ili kufanikiwa
Naimah♀17-02★★★★★Jina la naima ni zuri ishallah