Kama una jina hili ni kwamba unajina nzuri mimi jina hili nilipewa na Askofu Antony mayala wakati huo akiwa padri na hata yeye alilitumia jina hili.kwa hiyo kwa namnafulani inaonyesha jina Antony ni jina nzuri lenye maadili hivyo basi kwa wale ambao wanazaa wawaite watoto wao ANTONY.
Andika ujumbe
Je, ungependa kuchapisha maoni? Weka jina lako na ubonyeze ijayo: