nahitaji kujua maana zaidi ya jina lote. maana nimejua tu herufi yangu ya mwanzoni.nitashukuru mkinitumia na hata maana ya ubini wangu . msigwa.asante na mungu awatangulie katika kazi zenu zote.mbarikiwe na Bwana.
Renatha ( Umri wa miaka 35) 2021-09-29
Nataka kujua maana ya renatha
Renatha ( Umri wa miaka 23) 2022-07-04
Nataka kujua maana ya jina langu renatha
Andika ujumbe
Je, ungependa kuchapisha maoni? Weka jina lako na ubonyeze ijayo: