Jina Nathan ni miongoni mwa watu waliokuwa na hekima katika Biblia tunasoma
Pia Ethani ni mwimbaji 1chronicle's 15;19 Tunasoma katika Biblia
Ethan ni jina zuri linafaa kwa mtoto wa kiume
Ethan ni jina la asili ya kiebrania na huwa na maana ya Imara,kudumu ,maisha marefu
Ethan ni jina zuri linatamkwa kwa Lugha zote
Nathan ( Umri wa miaka 3) 2023-07-28
Jina la mwanangu ni zuri ni jina la ndoto zangu kabla hata sijampata mwanangu wa kwanza ambaye ni wakike
Andika ujumbe
Je, ungependa kuchapisha maoni? Weka jina lako na ubonyeze ijayo: